Header AD

Kura 487 zampa Sitta Uenyekiti Bunge Maalum la Katiba.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Edward Lowasa na Anna Tibaijuka wakimpongeza Mwenyekiti Mpya wa Bunge maalum la Katiba Bw. Samwel Sitta Mara baada ya Kutangazwa Kuwa Mshindi wa Nafasi hiyo kwa Idadi ya Kura 487 dhidi ya Hashim Rungwe aliyepata kura 69 na kura zilizoharibika  ni 7.
PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Augustino Mrema akiwa na moja ya mjumbe wa bunge hilo wakielekea katika ukumbi wa Bunge kwa Ajili ya Upigaji kura YA Nafasi Mwenyekiti Leo Mjini Dodoma.

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Wasira akiwa na Mjumbe mwenzie wakielekea katika ukumbi wa Bunge kwa Ajili ya Upigaji kura YA Nafasi Mwenyekiti Leo Mjini Dodoma.
 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Augustino Mrema akiwa na moja ya mjumbe wa bunge hilo wakielekea katika ukumbi wa Bunge kwa Ajili ya Upigaji kura YA Nafasi Mwenyekiti Leo Mjini Dodoma.
Kura 487 zampa Sitta Uenyekiti Bunge Maalum la Katiba.  Kura 487 zampa Sitta Uenyekiti Bunge Maalum la Katiba. Reviewed by crispaseve on 16:25 Rating: 5

No comments

Post AD