Waziri wa Malisili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu atembelewa na Tajiri wa Nne Duniani Bw. Howard Buffet.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu ( kushoto), akizungumza na Tajiri wa Nne Duniani, Bw Howard Buffet ( kulia), akiwa na Wasaidizi wake ofisini Mpingo House, Wizara ya Maliasili na Utalii.
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu (katikati) akielezea jambo kwa Tajiri wa Nne Duniani, Bw. Howard Buffet ( kulia) , akiwa na msaidizi wake , mara baada ya kutembelewa Ofisini kwake Mpingo House, Wizara ya Malisili na Utalii.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu (kulia), akiongozana na Tajiri wa Nne Duniani, Bw. Howard Buffet ( kushoto), mara baada ya mazungumzo waliyofanya Ofisini kwake Mpingo House, Wizara ya Maliasili na Utalii.
Waziri wa Malisili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu atembelewa na Tajiri wa Nne Duniani Bw. Howard Buffet.
Reviewed by crispaseve
on
16:24
Rating:
Post a Comment