LORD EYEZ MIKONONI MWA POLISI TENA KWA KOSA LA KUVUNJA KIOO CHA GARI, KUNDI LA WEUSI LAMPIGA STOP.
Aliyekuwa kinara wa kundi la Nako to Nako Soldier, Lord Eyez
amejikuta akiingia mikononi mwa polisi akituhumiwa kwa kosa kama lile
alilomfanyia msanii mwenzake, Ommy Dimpoz, la kuvunja kioo cha gari na
kutaka kuiba jijini Arusha.
Rapa Niki wa pili ambaye ni msemaji wa kundi la Weusi,
amesema kwamba kwa sasa wamemsimamisha msanii huyo aliyekuwa
mwanafamilia wa Crew ya Weusi wanaotokea kanda ya kaskazini, hasa
kutokana na mfululizo wa matukio aliyoyafanya ambayo hayaleti picha
nzuri kwenye jamii.
LORD EYEZ MIKONONI MWA POLISI TENA KWA KOSA LA KUVUNJA KIOO CHA GARI, KUNDI LA WEUSI LAMPIGA STOP.
Reviewed by crispaseve
on
22:59
Rating:
Post a Comment