VIDEO : USAIN BOLT ADATISHWA NA NYONGA ZA WATOTO WA KITRINIDAD
Mwanaradhia nyota anayeshikilia rekodi ya dunia kwa
wakimbiaji wa mbio fupi, mjamaika Usain Bolt, alifumwa na kamera za
mapaparazi katika visiwa vya Trinidad eneo la Carnival akibanjuka na
warembo waliokuwa wakimkatia nyonga mithili ya nyoka aliyemwagiwa
petroli huku akiwa hana habari..
Tusichoshane, ebu fanya kutazama picha na Video uone jinsi mambo yalivyokuwa
VIDEO : USAIN BOLT ADATISHWA NA NYONGA ZA WATOTO WA KITRINIDAD
Reviewed by crispaseve
on
22:56
Rating:
Post a Comment