MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23
Kocha
wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelekeza bondia Amani
Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga ngumi kwa shabaha wakati wa mazoezi
yake yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya
kujiandaa na mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23
katika ukumbi wa friends corner hotel manzese Dar es salaam
Kocha
wa mchezo wa ngumi Waziri Chara kushoto akimwelekeza bondia Amani
Bariki 'Manny Chuga' jinsi ya kupiga beg wakati wa mazoezi yake
yaliyofanyika katika klabu ya Biafra Mburahati kwa ajili ya kujiandaa na
mpambano wake na Selemani Motto utakaofanyika March 23 katika ukumbi wa
friends corner hotel manzese Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
MANNY CHUGA AJIANDAA KUMKABILI SELEMANI MOTTO MARCH 23
Reviewed by crispaseve
on
03:12
Rating:
Post a Comment