Header AD

MAZISHI YA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHABANI KUFANYIKA LEO



TA1A6382Maafisa wa vikosi mbali mbali vua Ulinzi vya zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana.
TA1A6384Baadhi ya wananchi na wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,kuupokea mwili wa Marehemu  huyo aliyefariki katika Hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es Salaam.TA1A6385Baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu  Bakari Shaabani  Hassan wakiteremka katika ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ,baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,ikiwa na mwili wa Marehemu huyo. TA1A6388Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja. TA1A6394Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja.
TA1A6400Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo  Wilaya magharibi Unguja.
TA1A6409Wanajeshi wa JWTZ hapa Zanzibar wakiuteremsha mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,kutoka katika Ndege ya jeshi hilo iliyotua leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ukitokea katika Hospitali ya Jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi. 
 TA1A6413 
Picha halisi ya Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,wakati wa uhai wake akiwa na afya ya kutosha na uetendaji kazi wa uhakika katika jeshi la JWTZ.
TA1A6422Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wamebeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya Sitini.
TA1A6429Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya Sitini. TA1A6447Wananchi na jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan waliofika kuupokea Mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume ukitokea katika Hospitali ya Jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi tayari ukiwa umeingizwa katikagari la Kijeshi kupelekwa Nyumbani kwao Miembeni Mjini Unguja.
MAZISHI YA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHABANI KUFANYIKA LEO MAZISHI YA MAREHEMU MEJA JENERALI BAKARI SHABANI KUFANYIKA LEO Reviewed by crispaseve on 15:16 Rating: 5

No comments

Post AD