RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSIA LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina
Chuwa baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia
kwa data za sensa ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea toka kwa Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho Ripoti
ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa ya watu na
makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina
Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya
kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu kwa Umri na Jinsia kwa data za sensa
ya watu na makazi mwaka 2012 leo Machi 13, 2014 Ikulu jijini Dar es
salaam.PICHA NA IKULU
RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSIA LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Reviewed by crispaseve
on
12:52
Rating:
Post a Comment