SAMIA ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akimkumbatia
Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta Leo Mjini Dodoma.Picha na Hassan Silayo MAELEZO.
Mgombea
wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Bi. Amina
Abdallah akimpongeza Bi. Samia Suluhu Hassan baada ya Kutangazwa kuwa
Makamu mweyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akitoa shukrani zake kwa
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba baada ya Kuteuliwa kuwa Makamu
Mwenyekiti wa Bunge hilo.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba na Mwenyekiti Mteule wa Bunge hilo Bw. Samwel
Sitta akibadilishana Mawazo na Mjumbe wa Bunge Hilo Mohamed Seif Khatib
ndani ya Ukumbi wa Bunge leo Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashilila
akieleza wajumbe juu ya utaratibu wa upigaji kura kwa nafasi ya Makamu
Mwenyekiti leo Mjini Dodoma.
Mgombea wa Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Bi. Amina Abdallah akinadi Sera zake kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Baadhi
ya Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba wakibadilishana Mawazo na
Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta(Aliyekaa).Leo mjini Dodoma
SAMIA ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA
Reviewed by crispaseve
on
12:41
Rating:
Post a Comment