Header AD

TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA MHE. MOSHI MUSSA CHANG'A AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO


Mkuu wa Wilaya ya Kalambo enzi za uhai wake Mhe. Moshi Mussa Chang'a ambae amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari. 
Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi. Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. (Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)
TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA MHE. MOSHI MUSSA CHANG'A AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO MKOANI RUKWA MHE. MOSHI MUSSA CHANG'A AFARIKI DUNIA JIONI YA LEO Reviewed by crispaseve on 06:13 Rating: 5

No comments

Post AD