KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND JIONI HII IKULU


Balozi
Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo
zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na
amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.
Lengo
la Balozi Antila kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa
wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu hilo la
Uenyekiti. Pia ameelezea vipaumbele walivyojiwekea katika kuchangia
bajeti ya serikali na wakabadilishana mawazo ya namna ya kuimarisha
mjadala (dialogue) kati ya kundi hilo la nchi washirika wa maendeleo na
Tanzania.
PICHA NA IKULU
KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA FINLAND JIONI HII IKULU
Reviewed by crispaseve
on
01:16
Rating:
Post a Comment