Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga amekutana na Balozi
Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo
nchini humo (Dean of Diplomatic Corps) Mhe. Emad A. Madani katika ofisi
za Ubalozi Mdogo wa Saudi Arabia.
Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga akiagana na Balozi
Mdogo wa Saudi Arabia, Dubai, ambaye pia ndio Mkuu wa Mabalozi wadogo
nchini humo (Dean of Diplomatic Corps) Mhe. Emad A. Madani katika ofisi
za Ubalozi Mdogo wa Saudi Arabia.
BALOZI MDOGO WA TANZANIA DUBAI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MDOGO WA SAUDI ARABIA DUBAI
Reviewed by crispaseve
on
03:36
Rating: 5
Post a Comment