MIAKA MITANO YA MAX MALIPO

Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa,
inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa
ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano mpya wa
huduma ya Max Malipo, katika hafla iliyokutanisha uongozi wa kampuni
hiyo ya Jukwaa la Wahariri, leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es
Salaam.

Mkurugnezi Mtendaji wa MaxCom Africa, watoaji wa huduma za Max
Malipo, Juma Rajabu akizindua muonekano mpya wa huduma ya Max Malipo
itakavyokuwa sasa kwenye ofisi za mawaakala wake.

Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Max Com Africa, watoaji huduma za
Max Malipo, Juma Rajabu akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 10,
kwa Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula, kuashiria
kampuni hiyo kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya ujenzi wa maabara
katika shule zilizomo katika Manispaa hiyo, wakati wa hafla ya kampuni
hiyo kutimiza miaka mitano ambapo uongozi ulikutana na wadau wakiwemo
Jukwaa la Wahariri katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo

Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya Max Com Africa, watoaji huduma za
Max Malipo, Juma Rajabu akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni 10,
kwa Mwakilishi wa Manispaa ya Ilala Mashauri Saidii, kuashiria kampuni
hiyo kutoa kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika
shule zilizomo katika Manispaa hiyo, wakati wa hafla ya kampuni hiyo
kutimiza miaka mitano ambapo uongozi ulikutana na wadau wakiwemo Jukwaa
la Wahariri katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo

Mkurugnezi Mtendaji wa Kampuni ya MaxCom Africa, Juma Rajabu
akishikana mkono na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Nevile Meena baada ya
kutangaza kulichangia Jukwaa hilo sh. milioni 5
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
MIAKA MITANO YA MAX MALIPO
Reviewed by crispaseve
on
02:26
Rating:

Post a Comment