RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .
Mgeni Rasmi wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China, Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe akihutubi usiku huu kweye kongamano hilo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel
ya Ngurdoto mjini Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza usiku huu kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel
ya Ngurdoto mjini Arusha,ambapo Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China linafanyika na mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe.
Rais
wa Zimbabwe Robert Mugabe (aliyeshikwa mabepa) akiwasili usiku huukwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel ya Ngurdoto mjini
Arusha,kwa ajili ya kufungua kufungua Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China.
RAIS
Jakaya Kikwete akipewa tunzo ya Heshima ya juu ya Kuhamasisha Amani
na Utulivu katika Bara la Afrika na Rais wa Umoja wa Vijana Afrika
(PAYU),Francine Furaha Muyumba .Tuzo hiyo imetolewa na Umoja wa
Vijana wa Umoja wa Afrika,pichani kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
Mh.Mboni Mhita
Rais Jakaya Kikwete akitoa salamu zake kwa washiriki wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China,ambalo mgeni rasmi ni Rais wa
tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China,ambalo mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China,ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe,kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana
Rais
Jakaya Kikwete akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana
alipowasili jioni ya leo kwenye moja ya ukumbi wa mikutano katika hotel
ya Ngurdoto mjini Arusha,kwa ajili ya kutoa salamu kwa washiriki wa
Kongamano la tatu la Viongozi Vijana wa Afrika na China,ambalo mgeni
rasmi ni Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe.Pichani kulia ni Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Mh.Stephen Masele.
RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AFUNGUA KONGAMANO LA VIJANA AFRIKA NA CHINA,RAIS KIKWETE ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA .
Reviewed by crispaseve
on
02:55
Rating:
Post a Comment