HAFLA YA CHAKULA KWA WANAKAMATI MBALI MBALI WA SHEREHE ZA MAPINDUZI YAFANYIKA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi katika chakula
cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na
Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana.Waalikwa walioshiriki katika chakula

ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana.Baadhi ya waalikwa katika katika chakula
cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na
Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu
ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
wakifuatilia kwa makini taratibu wakati wa chakula hicho ambapo mgeni
rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akichukua chakula wakati wa hafla maalum kwaHalmashauri
ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini
Unguja jana.Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzinbar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali walishiriki katika hafla maalum ya chakula cha usiku kwa Halmashauri
ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini
Unguja jana.Baadhi ya Viongozi wakichukua chakula katika hafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa
Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali
mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Baadhi ya waalikwa wakichukua chakula katika hafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa
Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali
mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Kikundi cha JKU Morden Taarab kiitumbiza wakati wa chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa
Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali
mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Baadhi
ya wasanii waliofanikisha kutoa burudani katika sherehe za miaka 51 ya
Mapinduzi matukufu ya Zanzibarwakiwa katika hafla yachakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa
Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali
mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akitoa neno la Shukurani kwa Niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
wakati wa hafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmikwa
Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali
mbali zilizofanikisha Sherehe za maiaka 51 ya mapinduzi matukufu ya
Zanzibar zilizofanyika viwanja vya Ikulu.Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Viongozi baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha usiku
kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya
Kitaifa katika kufanukisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibarya
miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.]
HAFLA YA CHAKULA KWA WANAKAMATI MBALI MBALI WA SHEREHE ZA MAPINDUZI YAFANYIKA
Reviewed by crispaseve
on
05:20
Rating:
Post a Comment