MKUTANO MKUU WA 31, TUZO ZA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA (MAYORS AWARD) NA MIAKA 30 YA ALAT KUFANYIKA APRILI 8-11, 2015JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam,
Dk. Didas Masaburi (katikati), akizungumza na waandishi wa habari jijini jana kuhusu
Mkutano Mkuu wa 31 wa ALAT utakaokwenda sambamba na Tuzo za Viongozi wa
Serikali za Mitaa ‘Mayors Award’ na Miaka 30 ya ALAT, utakaofanyika katika
hoteli ya Kunduchi jijijni Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham
Shamumoyo na (kulia) ni Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB ambao ndio
wadhamini wakuu wa mkutano huo, Waziri Barnabas. PICHA NA JOHN BADI WA DAILY
MITIKASI BLOG.
|
Afisa Mkuu wa Fedha wa
Benki ya NMB, Waziri Barnabas (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi
milioni 200, kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ambaye
pia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Masaburi kwa ajili ya kudhamini
mkutano huo. Katikati ni Katibu Mkuu wa ALAT, Habraham Shamumoyo
MKUTANO MKUU WA 31, TUZO ZA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA (MAYORS AWARD) NA MIAKA 30 YA ALAT KUFANYIKA APRILI 8-11, 2015JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
05:23
Rating:
Post a Comment