Header AD

MAKABIDHIANO YA OFISI KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini akikabidhiana Ofisi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman leo katika ukumbi wa Jengo la Wizara ya Utumishi wa Umma Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar,baada ya uteuzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheun,[Picha na Ikulu.]
Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Haji Makeme Mwadini akitoa shukurani kwa wafanyakazi wa Wizara ya Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishiwa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman leo katika ukumbi wa Jengo la Wizara ya Utumishi wa Umma Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar, baada ya uteuzi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheun,[Picha na Ikulu.]
MAKABIDHIANO YA OFISI KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR MAKABIDHIANO YA OFISI KATIBA NA SHERIA ZANZIBAR Reviewed by crispaseve on 01:53 Rating: 5

No comments

Post AD