PROFESA BAREGU AONGOZA KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa
Mesigwa Baregu (kulia), akizungumza katika kongamano la Umoja wa Vijana
wa Chadema (Bavicha), ikiwa ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani
lililofanyika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo mchana.
Kushoto ni Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila.
Mtoa mada katika kongamano hilo, David Kafulila akichangia mambo mbalimbali.
Meza kuu katika kongamano hilo.
Mkutano ukiendelea.
Mada zikiendelea kutolewa.
Wanahabari wakichukua taarifa mbalimbali.
Usikivu ukiwa umetawala katika ukumbi huo.
PROFESA BAREGU AONGOZA KONGAMANO LA VIJANA WA CHADEMA (BAVICHA) UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Reviewed by crispaseve
on
02:31
Rating:

Post a Comment