Header AD

DC RICHARD KASESELA AWAOMBA RADHI WALE WOTE ALIOKWALUZANA NAO 2016, AWATAKA WANA IRINGA KUSHEREKEA MWAKA MPYA KWA NJIA YA MANI NA UTULIVU.

Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amewaomba radhi wale wote aliokwaluzana nao mwaka 2016 kwa njia moja au nyingine kwani yeye ni binadamu si maraika hivyo hajakamilika.

Kasesela ameongezea na kusema kuwa katika kuhakikisha mambo yanakwenda sawa lazima mtapishana lugha na watu ndipo mambo yaende sawa, pia amewataka wana Iringa kusherekea mwaka mpya kwa njia ya amani na tulivu kwa undani wa habari hii angalia hiyo video.

DC RICHARD KASESELA AWAOMBA RADHI WALE WOTE ALIOKWALUZANA NAO 2016, AWATAKA WANA IRINGA KUSHEREKEA MWAKA MPYA KWA NJIA YA MANI NA UTULIVU. DC RICHARD KASESELA AWAOMBA RADHI WALE WOTE ALIOKWALUZANA NAO 2016, AWATAKA WANA IRINGA KUSHEREKEA MWAKA MPYA KWA NJIA YA MANI NA UTULIVU. Reviewed by crispaseve on 04:36 Rating: 5

No comments

Post AD