Header AD

JWTZ kuanza kulipa Deni wanalodaiwa na TANESCO

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania,  Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na wanahabari kuhusu Jeshi hilo kuanza kulipa deni wanalodaiwa na Shirika la Umeme nchini TANESCO kuanzia siku ya kesho. Mkutano huo umefanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi Ngome jijini Dar es Salaam.
JWTZ kuanza kulipa Deni wanalodaiwa na TANESCO JWTZ kuanza kulipa Deni wanalodaiwa na TANESCO Reviewed by crispaseve on 10:01 Rating: 5

No comments

Post AD