Header AD

MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA KWENYE MACHIMBO YA NYANGARATA

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Msalala Simon Berege akimwongoza Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya siku ya Kifua kikuu duniani mkoa wa Shinyanga kwenda kukagua mabanda yaliyokuwa yanatoa huduma za kupima VVU,uchunguzi wa kifua kikuu,tohara na huduma zingine za afya sambamba na zoezi la kuandikisha watoto ili wapate vyeti vya kuzaliwa
Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu (mwenye suti nyeusi) na Meneja wa AGPAHI kanda ya ziwa Dkt. Nkingwa Mabelele(kulia) wakisikiliza maelezo ya wataalamu wa afya katika banda la kupimia VVU
Ndani ya banda la uchunguzi wa ugonjwa wa kifua kikuu-Wataalamu wa afya wakitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu 
Zoezi la tohara kwa wanaume linaendelea-Katikati ni Mkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu akiwa katika banda la kutolea huduma ya tohara kwa wanaume bure. Kwa Taarifa kamili BOFYA HAPA
MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA KWENYE MACHIMBO YA NYANGARATA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIFUA KIKUU DUNIANI MKOA WA SHINYANGA YAFANYIKA KWENYE MACHIMBO YA NYANGARATA Reviewed by crispaseve on 09:53 Rating: 5

No comments

Post AD