KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
Mratibu
wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji Andrew King’omela akizungumza na
Mwinjilisti kiongozi wa Mtaa Mwapemba Usharika wa Mtoni Nicolas Mtali
wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Mtaa huo
iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika
harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Mratibu
wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji Andrew King’omela (kushoto)
akizungumza na Mchungaji wa Usharika wa Mtoni Moses Sozigwa (kulia)
ambaye ni mlezi wa Mtaa wa Mwapemba wakati wa harambee ya ujenzi wa
kanisa la Mtaa huo.
Kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa wa Kemete usharika wa Kijitonyama ikiimba
wakati wa harembee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa
Mtoni iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana
katika harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Waumini
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini
Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni pamoja na wageni mbalimbali
waliohudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo wakimsikiliza
Mratibu wa Idara ya huduma za jamii Mchungaji Andrew King’omela
akihubiri.
Viongozi
wa Kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa wa Kemete usharika wa Kijitonyama
wakinadi kanga ambayo iliuzwa shilingi 67,000/= wakati wa harembee ya
kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni iliyofanyika hivi
karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee hiyo ambayo
ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Wachungaji
pamoja na wazee wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni wakiingia katika
ibada maalum ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa iliyofanyika hivi
karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee hiyo ambayo
ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Wajumbe
wa kamati ya Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni wakihesabu fedha
zilizotolewa na wadau mbalimbali waliohudhuria harambee ya kuchangia
ujenzi wa kanisa hilo iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17
zilipatikana katika harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha
milioni 50.
Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa
Mwapemba Usharika wa Mtoni lenye uwezo wa kuchukuwa waumini 400 na
vyumba vya ofisi vitano kama linavyoonekana katika picha.
Picha na Anna Nkinda
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) MTAA WA MWAPEMWA USHARIKA WA MTONI WAFANYA HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA KANISA
Reviewed by crispaseve
on
07:51
Rating:
Post a Comment