MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na
viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za
kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta iliyofanyika
leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia
Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. PICHA NA IKULU.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Uhuru
Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa awamu ya pili,
katika Sherehe zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini
Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hizo
akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John
Pombe Magufuli.
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA KENYA, MHE. UHURU KENYATTA
Reviewed by crispaseve
on
14:54
Rating:
Post a Comment