Header AD

Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam Amtembelea Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na mgeni wake Balozi wa Ireland nchini Tanzania,Lorcan Fullam,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar
Reviewed by crispaseve on 04:19 Rating: 5

No comments

Post AD