Header AD

SOKO LA SAMAKI FERI LILIPOWAKA MOTO LEO ASUBUHI

Soko la feri upande wa kukaangia samaki limeshika moto leo tarehe 4/4/2012 asubuhi katika muda wa saa nne (4) mpaka sita (6) nakulazimu gari la zima moto yaani fire kuja kuuzima moto huo ambao ulikuwa unaendelea kuzimwa na wananci wengi ambao  ni wachuuzi wa samaki sokoni hapo. Hata hivyo haikujulikana ni hasara kiasi gani imesababishwa na moto huo na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa katikla tukio hilo
Moto ukiendelea kuunguza soko hilo leo asubuhi.Picha na Hassan Mabuye
Reviewed by crispaseve on 04:18 Rating: 5

No comments

Post AD