Vilio Vyatawala Keshi Ya Mheshimiwa Godbless Lema

Wafuasi wa Chadema wakiwa taabani kiasi cha wengine kulia kama mama huyu, baada ya kusikia hukumu hiyo dhidi ya Lema. Wafuasi hao wa Chadema walikuwa ndani ya viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha wakati hukumu ikitolewa na kumuona Lema ana hatia na hivyo kuvuliwa ubunge na Jaji

Wapiga kura watatu waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya ubunge dhidi ya Lema wakiwa mahakamani kabla ya hukumu ya kesi hiyo kuanza kusomwa na jaji Gabriel Rwakibarila katika mahakama kuu kanda ya Arusha, Kushoto ni Mussa Mkanga, Happy Kivuyo na Agnes Mollel .Picha zote na Shaaban Mdoe wa Gazeti la Uhuru

Post a Comment