MTOTO AMEKOTWA ENEO LA PPF TOWER POSTA JIJINI DAR. Kama unamfahamu toa taarifa kupitia namba za simu zilizopo hapo chini.
![]() |
Mtoto ameokotwa eneo la PPF Tower jijini Dar es Salaam saa sita ya mchana wa leo akiwa amelala kwenye eneo hilo. Amepelekwa Muhimbili na askari wa kituo cha Polisi cha kati. Yeyote aayemfahamu mtoto huyu anaombwa kutoa taarifa kupitia namba 075564863607 AU 07156486 |

Post a Comment