Header AD

NGASSA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 16 SIMBA

Mrisho Ngassa (kulia) aliyekuwa Azam FC, akipokea jezi namba 16 kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Godfrey Nyange (Kaburu) ikiwa ni ishara ya kujiunga rasmi na timu hiyo kwa misimu miwili. Ngassa amekabidhiwa gari na kitita cha sh. milioni 30.Asubuhi ya leo alishiriki na wachezaji wenzie katika mazoezi ya kujenga stamina katika ufukwe wa Coco, Oysterbay Dar es Salaam.
Reviewed by crispaseve on 09:59 Rating: 5

No comments

Post AD