PINDA ALIPOTEMBELEA NANENANE ARUSHA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mazao ya mbogamboga wakati alipotmbelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja vya Themi, Arusha Agust 8, 2012.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na TASO katika maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha Agust 8, 2012. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula na Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment