TAMASHA LA SIMBA DAY LATIBUKA,YACHAPWA 3-1 NA NAIROBI CITY STARS UWANJA WA TAIFA JIONI HII
![]() |
Hili ndilo benchi la ufundi la timu ya Nairobi City Stars kutoka nchini Kenya |
Benchi la ufundi la timu ya Simba kushoto ni kocha wa timu hiyo Bw. Milovan.
Kikosi cha timu ya Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo.
Kikosi cha timu ya Nairobi City Stars kutoka Kenya kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa paambano hilo.

Post a Comment