MANDHARI YA MIZUNGOKO YA KUSHOTO (KEEP LEFT) KATIKA BAADHI YA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
Hapa
ni mzunguko uliopo Barabara ya Mkwepu ambapo mizunguko hii imeonekana
kutengenezwa na kupambwa ili kuleta mvuto na muonekano mzuri wa jiji la
Dar Es Salaam
Mizunguko
ya kushoto (Round About) zilizopo mjini katika barabara za mkwepu
zikiwa zinapambwa na masanamu ya wanyama hawa wazuri kama vile Twiga,
Mamba, Na Binadamu wakipiga Ngoma ili kuweza kuleta mvuto na kulipamba
Jiji La Dar Es Salaam yote hii ni katika kuliweka safi na lenye Mvuto
Jiji letu la Dar Es Salaam
Reviewed by crispaseve
on
09:26
Rating:
Post a Comment