Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Koen Adam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa ajili ya kusalimiana na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Koen Adam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa ajili ya kusalimiana na Rais.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment