MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHALIB BILAL,ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJNI SIRAJU KABOYONGA
Makamu
wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo
ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyonga,
aliyefariki dunia juzi na kuzikwa jana jijini Dar es Salaam. Makamu
alifika kuhani msiba huo nyumbani kwa marehemu Sinza jijini Dar es
Salaam jana.Katikati ni Balozi Mstaafu, Hashim Mbita na Mwenyekiti wa
Chama cha Cuf, Prof.Ibrahim Lipumba.
Makamu, akishiriki kuomba dua kabla ya kuondoka.
Makamu wa Rais akiagana na waombolezaji wakati akiondoka eneo hilo.
Reviewed by crispaseve
on
05:14
Rating:
Post a Comment