Header AD

TASWIRA KUTOKA MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM BAADA YA GODBLESS LEMA KUSHINDA KESI YAKE

  Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh Freeman Mbowe (wa tatu kulia) akibadilisha mawazo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mh Godbless Lema ndani ya mahamaka kuu Kanda ya Dar Es Salaam mara baada ya kushinda kesi yake ya rufaa ya kupinga ubunge wake iliyofunguliwa na makada wa tatu wa CCM. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mh Joshua Nassari
 Mawakili wakiwa kwenye viti vyao
 Hawa ndiyo waliokuwa wamefungua kesi dhidi ya lema
 Mahakamani,lissu,nassari,mwenyekiti mbowe na kilewo wakiteta na mke wa lema
 Lema akianza kutoa hotuba fupi baada ya kutoka mahakamani.kulia ni joshua nassari
 Vitalisi kimomogoro,wakili wa lema.huyu ndiye amekuwa na kesi hii tangu kuanza
 Tundu lisu,mtetezi wa lema.aliingia baada ya kesi kufika mahakama ya rufaa.ameshangiliwa sana
 Askari wakisindikiza msafara wa wafuasi wa CHADEMA
 hapa lema akiwa na kilewo wakati wa maandamano ya kutoka mahakamani kuelekea makao makuu ya chadema.Picha Kwa Hisani ya Mjengwa Blog

Hukumu imeangalia haswa swala la Locus Stand ya kama waliofungua kesi walikuwa na haki kisheria ya kufanya hivyo na imeangaliwa kwa kina na kuonekana kuwa kadiri ya pingamizi ya mawakili wa Lema Kimomogoro na Tundu Lissu,waliofungua shitaka dhidi ya lema hawakuwa na locus stand ya kufanya hivyo.kwa hiyo mengine yote yanakuwa null and void.hukumu haikuchukua hata nusu saa na kupelekea Godbless Lema kuwa mbunge halali wa Arusha mjini Kuanzia leo
Reviewed by crispaseve on 05:14 Rating: 5

No comments

Post AD