LEMA AKIWA MAHAKAMANI BAADA YA KUSHINDA KESI YA RUFAA YAKE MAPEMA LEO
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh
Freeman Mbowe (wa tatu kulia) akibadilisha mawazo na Mbunge wa Jimbo la
Arusha Mh Godbless Lema ndani ya mahamaka kuu Kanda ya Dar Es Salaam
mara baada ya kushinda kesi yake ya rufaa ya kupinga ubunge wake
iliyofunguliwa na makada wa tatu wa CCM. Wa pili kushoto ni Mbunge wa
Jimbo la Arumeru Mh Joshua Nassari
Godbless Lema ambaye ni mbunge wa
Jimbo la Arusha Akiongea na wafuasi wa Chadema na baadhi ya wananchi
waliojitokeza kusikiliza hukumu ya kesi yake mara baada ya kushinda
rufaa yake leo katika Mahamaka Kuu. Picha Zote na Mdau Bariki Mwasaga
Reviewed by crispaseve
on
05:13
Rating:
Post a Comment