Ajali mbaya yatokea Posta Mpya jijini Dar jioni hiii,Mwanajeshi mmoja apasuka kichwa baada ya kujigonga mtini
Baadhi ya askari wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania wakimshusha mwenzao baada ya kujigonga kwenye mti
na kujeruhiwa vibaya sana kwa kupasuka kichwa wakati akiwa kwenye Lori
lenye namba za usajili 5514 JW 07 aina ya IVECO kandokando ya barabara
ya Samora jirani na Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam jioni
hii.
Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo.
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka kichwa. (Picha na Habari Mseto Blog)
Reviewed by crispaseve
on
05:19
Rating:
Post a Comment