MSIMU WA VALENTINE NA BAILEYS KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL)
Katika picha ya pamoja Thomas Michelis akiwa na mke wake baada ya kukabidhiwa ua kutoka Baileys ishara ya upendo
Thomas
Michelis akisoma kipeperushi na kupata maelekezo kutoka kwa balozi wa
kinywaji cha baileys katika supermarket ya Shoppers Plaza, kuhusu
kinywaji hicho na zawadi zinazotolewa katika msimu huu wa Valentine
Mteja wa Baileys akijaribu bahati yake katika msimu wa valentine ndani ya supermarket ya Shoppers Plaza
Kampuni ya bia ya
Serengeti inaendelea kufanya kampeni maalumu kwa msimu wa valentine kwa
wapenzi wa kinywaji cha Baileys kwa kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja
wao zawadi hizo zinatolewa katika supermarket za Mlimani City, Uchumi na
Shoppers Plaza kwa wale watakaonunua baileys wanapata t-shirt, maua,
chupa ya Baileys na kubwa zaidi ni kupata bahati ya kula chakula cha
jioni katika mgahawa wa kisasa wa Akemi uliopo jijini Dar es Salaam.
Reviewed by crispaseve
on
03:19
Rating:
Post a Comment