Header AD

KENYATTA ANAONGOZA DHIDI YA ODINGA


Kenyatta 1,621,410 (54.78%) 
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Kenya yanaonyesha kuwa Uhuru Kenyatta, mtoto wa Rais wa Kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta anaongoza, huku akifuatiwa kwa karibu na aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Raila Odinga.
Odinga 1,203,802 (40.67%)
Namba hizi bado zinazidi kuongezeka kutoka katika kituo cha kuhesabia kura.
 
Matokeo hayo ni kutoka katika vituo zaidi ya 8,300 kati ya 31,000 na yalikuwa yakionyeshwa moja kwa moja na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) kadri yalivyokuwa yanaingia.
Reviewed by crispaseve on 01:06 Rating: 5

No comments

Post AD