Header AD

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Yaipatia Serikali ya Tanzania kiasi cha Tanzania shilingi bilioni 34.8 za kusaidia mradi wa maji Zanzibar.

 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akibadilishana hati na  Mwakilishi wa AfDB nchini Tonia Kandiero mara baada ya kusaini makubaliano leo jijini Dar es salaam ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wa kuipatia Tanzania shilingi bilioni 34.8 za kusaidia mradi wa maji Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na  Mwakilishi wa AfDB nchini Tonia Kandiero wakisaini makubaliano leo jijini Dar es salaam ya Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wa kuipatia Tanzania shilingi bilioni 34.8 za kusaidia mradi wa maji Zanzibar
Reviewed by crispaseve on 09:43 Rating: 5

No comments

Post AD