MABLOGGER KUTOKA JIJI LA DAR WAKI SHOW LOVE
Wana wa blog Kutoka Jiji la Dar
wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya kukutana katika kazi ndani
ya viwanja vya leaders mwisho wa wiki iliyopita.Kutoka Kushoto ni
Josephat Lukaza wa Lukaza Blog, Jeffy Msangi wa Bongo Celebrity,
Cathbert Angelo wa Kajunason Blog, Ahmad Michuzi wa Jiachie Blog, Na
Mdau kutoka Bongo 5 na Othman Michuzi wa Mtaa Kwa Mtaa Blog. Inapendeza
sana Kuona mnakutana sehemu na mnabadilishana mawazo mawili matatu
Post a Comment