Header AD

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA CPC CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango cha Kimakonde,  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao,  Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Khadija Aboud akisalimiana na  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao,  Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose Migiro akimshukuru  Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China. Picha na Bashir Nkoromo
Reviewed by crispaseve on 09:45 Rating: 5

No comments

Post AD