Rais Jakaya Kikwete Apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Botswana Mhe Pandu Skelemi Leo Ikulu jijini Dar es Salaam.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa
Botswana uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje ya nchi hiyo Mhe Pandu
Skelemi leo Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

Post a Comment