Wake Watembelea kijiji cha mradi wa wakulima wa kupunguza umasikini cha Nanchong, jimbo la Sichuan, China

Shamba la kabichi katika kijiji cha Nanchong, jimbo la Sichaun,
China, Shamba hilo lipo katika mradi wa kupunguza umasikini katika
kijiji hicho unaofanywa na serikali ya Jimbo la Siachuani ya Chama Cha
Kikomunisti cha China

Wakulima walipo katika Kijiji kinachoendesha amradi wa kupambana na
umasikini wa kilicmo cha Nanchong, jimbo la Sichuan, wakiwa kazini Machi
16, 2013

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipata maelezo kuhusu
shughuli za kilimo alipotembelea mji wa Dantong, Nanchong kwenye miradi
ya kilimo kwa ajili ya kupambana na umasikini, Machi 16, 2013. Kushoto
ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai. Kinana yupo
nchini China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya
mafunzo ya nyanja mbalimbali za kimaendeleo, kwa mwaliko wa Chama Cha
Kikomunisti cha nchi hiyo cha CPC.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwasalimia wazee katika
kijiji cha mradi wa wakulima wa kupunguza umasikini cha Nanchong, jimbo
la Sichuan, China, alipotembelea kijiji hicho, Machi 16, 2013.
Anayemsalimia ni Ning Xiu (78). Kinana yupo nchini China na ujumbe wa
viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya mafunzo ya nyanja mbalimbali za
kimaendeleo, kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo cha
CPC.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman na akipata maelezo katika duka la
kisasa na mazao ya chakula, katika kijiji cha Dantong, wilaya ya
Nanchong, jimbo la Chengdu China, Machi 16, 2013. Duka hilo ni la mazao
ya wakulima katika kijiji hicho kupitia mradi wa kupunguza umasikini
Nanchong. Kinana yupo nchini China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa
ajili ya ziara ya mafunzo ya nyanja mbalimbali za kimaendeleo, kwa
mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo cha CPC.

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu
wa Chama Cha Kikomunisti cha China, jimbo la Sichuan, Zhang Ning,
wakitazama kazi za watoto, katika shule ya awali katika kijiji cha
Dantong, wilaya ya Nanchong, Kinana na ujumbe wake walipotembelea miradi
ya kilimo kwa ajili ya kupunguza umasikini, katika kijiji hicho, Machi
16, 2013.Kinana yupo nchini China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa
ajili ya ziara ya mafunzo ya nyanja mbalimbali za kimaendeleo, kwa
mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo cha CPC.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi,
akitazama vifaa vya michezo ya watoto katika shule ya awali ya Kijiji
cha Dantong, jimbo la Sichuan, Msafara wa Kinana ambao Amina yumo,
ulipotembelea kijiji hicho kuona shughuli za mradi wa kilimo wa
kupunguza umasikini, Machi 16, 2013. Kinana yupo China na ujumbe wa
viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya mafunzo ya nyanja mbalimbali za
kimaendeleo, kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo cha
CPC. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk.
Asha-Rose Migiro, na Watatu kushoto ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM ,
Khadija Aboud.

Katibu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitazama moja ya mashamba makubwa
ya wakulima walipo kwenye mradi wa kupunguza umasikini, katika Kijiji
cha Dantong, Jimbo la Sichuan, China, Machi 16, 2013. Kinana yupo nchini
China na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM kwa ajili ya ziara ya mafunzo ya
nyanja mbalimbali za kimaendeleo, kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti
cha nchi hiyo cha CPC.

Mwenyekiti wa CCM mkoa
wa Iringa, Jesca Msambatavangu akisema wakati akiwa kando ya shamba la
kisasa la njegere, katika kijiji cha Nanchong, Jimbo la Sichuan, China,
Machi 16, 2013. Jesca yupo katika msafara wa viongozi 14 wa CCM
unaongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nchini China.Picha na Bashir Nkromo

Post a Comment