Baada Ya Bamboo Kutangaza Kaokoka, Abbas Kubaffu Amchana Na Huu Ujumbe.
Katika hali isiyo ya kawaida, rapa Abbas Kubaff ambaye ni mchizi wa
karibu sana wa Bamboo katika game ya muziki Kenya, ametoa maoni yake
ambayo yamekuwa ni tofauti sana kuhusu hatua ya Bamboo kutangaza kuokoka
na kumkabidhi Mungu maisha yake.

Post a Comment