Aishi kwa kunywa damu na maziwa kisha kujianika kuonyesha alivyonona!
Kwa mujibu
wa Dialy Mail katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo
Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina la Gorge
anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume
mnene!
Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!Kwa mujibu wa Dialy Mail katika kabila linaloishi pembezoni mwa Ethiopia, Omo Valley ndipo alipoonekana mwanaume anayefahamika kwa jina la Gorge anayekunywa damu na maziwa ya ng'ombe ili kupata taji la kuwa mwanaume mnene!
Miezi sita baada ya kuanza zoezi la kunywa damu ya ng'ombe na maziwa,mwanaume huyo ameonyesha muonekano wake.
Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!
Aishi kwa kunywa damu na maziwa kisha kujianika kuonyesha alivyonona!
Reviewed by crispaseve
on
13:33
Rating:
Post a Comment