MWANAMIELEKA WA WWE MARK HENRY AJIFANANISHA NA RAPA RICK ROSS.
Mwanamieleka Mark Henry A.K.A
‘World’s Strongest Man’ mwenye mwili uliojazia ambaye ni mcheza mieleka
kutoka katika shirikisho la mieleka Duniani WWE Smack Down.
Mwanamieleka huyo aliamua
kuwafurahisha mashabiki wake katika sherehe za Halloween ambazo huwa
zinafanyika Tar 31 Mwezi OCT kila mwaka baada ya kutokelezea katika
mavazi na muonekanao kama ule wa rapa Rick Ross na kisha kuandika
ujumbe mfupi kupitia mtandao wa Twitter uliosomeka ”Me as Rick Ross”
akimaanisha ”Yeye kama Rick Ross’ hali iliyotafsiriwa ni jinsi gani
mwanamieleka huyo anavyomkubali MMG Bawse Rozzay.
Katika Picha juu ni Mark Henry
akiwa katika muonekano kama ule wa rapa Rick Ross, unaweza kusema ni
Rick Ross Mwenyewe pamoja na Tweet yake .
Pichani ni Rick Ross Mwenyewe Orijino
MWANAMIELEKA WA WWE MARK HENRY AJIFANANISHA NA RAPA RICK ROSS.
Reviewed by crispaseve
on
22:51
Rating:
Post a Comment