P SQUARE SHOWS OFF ALL GOLD EVERYTHING LIVING ROOM.
Picha walizopiga wanamuziki wanaounda kundi la P square Peter
na Paul Okoye katika moja ya jumba la kifahari lililopo eneo la
Riverside State nchini Nigeria kisha kuzituma katika mtandao wa
Instagram zimezua mjadala mkubwa baina ya Mashabiki na wapenzi wa wakali
hao.
Picha hizo ambazo zinawaonyesha wasanii hao kwa pamoja wakiwa
katika maeneo tofauti ya jumba hilo lilosheheni samani za bei ghali
ikiwemo sebuleni na katika chumba maalum cha kulia chakula (Dinning
Room) chenye viti na meza za dhahabu, Baadhi ya mitandao na watu
mbalimbali wakidhani kwamba ni kati ya nyumba wanazomiliki jambo ambalo
halikuwa kweli bali walipata kupiga picha hizo baada ya kuhudhuria
katika msiba wa kiongozi mmoja muandamizi wa serikali nchini humo ambaye
ndiye mmiliki halali wa jumba hilo, unaweza ukatazama mwenyewe picha za
jumba na samani zilizopo ndani yake, sio mchezo.
P SQUARE SHOWS OFF ALL GOLD EVERYTHING LIVING ROOM.
Reviewed by crispaseve
on
12:10
Rating:
Post a Comment