MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MILI WA MAREHEMU DK SENGONDO MVUNGI LEO JIJINI DAR KATIKA VIWANJA VYAKARIMJEE
Picha ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akizungumza wakati wa kutoka salamu za rambi rambi katika shughuli ya
kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo
Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Ibada
ilkiendelea wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili
wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Taratibu za Kumuombea Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi ikiendelea leo kwenye Viwanya vya Karemjee,Jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi likiwekwa sawa tayari kwa kuaza kwa zoezi la kutoa Heshima za Mwisho.
Viongozi wa Dini wakitoa heshima za mwisho
Watawa wa Kanisa Katoliki wakitoa heshima kwa Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.
Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu,Mh. Mizengo Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye
mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga
mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif
Hamad akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu,
Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo
iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa
heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo
Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza
lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya
kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Joseph Warioba akitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Katika na Sheria,Mh. Angella Kairuki akitoa heshima za mwisho
mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba,Mh. Jaji Augustine Ramadhan akitoa heshima
za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo
Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim akitoa heshima za mwisho mbele
ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa
shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu Mstaafu,Mh. Fredrick Sumaye akitoa heshima za mwisho mbele ya
jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli
ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini
Dar es Salaam.
Waziri
wa Ulinzi,Mh. Shamsi Vuai Nahodha akiambatana na Mh. Hamad Rashid
wakitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt.
Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika leo
kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MILI WA MAREHEMU DK SENGONDO MVUNGI LEO JIJINI DAR KATIKA VIWANJA VYAKARIMJEE
Reviewed by crispaseve
on
12:18
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
12:18
Rating:






















Post a Comment