Header AD

TATOO KIBAO PAMOJA NA MUONEKANO MPYA WA MSANII WA SANAA YA KUIGIZA 'RAY VICENT KIGOSI" HUU HAPA


VICENT KIGOSI -RAY THE GREAT



SURA YA JESUS NI MOJA YA TATOO ALIYOJICHORA KKATIKA MWILI WAKE


Masanii ambaye ni wazi amesota sana tangu zamani kutimiza malengo yake katika kazi ya sanaa ya kuigiza Viceny Kigosi Maarufu kama RAY kwa sasa nazidi kumake deal kadhaa na kuendeleza sanaa ya Bongo ya kuigiza na kuipeleka mbali hata kimataifa kwasasa amekuja katika muonekano tofauti kwa mwili wake kama unavyoweza kuona katika picha.
TATOO KIBAO PAMOJA NA MUONEKANO MPYA WA MSANII WA SANAA YA KUIGIZA 'RAY VICENT KIGOSI" HUU HAPA TATOO KIBAO PAMOJA NA MUONEKANO MPYA WA MSANII WA SANAA YA KUIGIZA 'RAY VICENT KIGOSI" HUU HAPA Reviewed by crispaseve on 11:59 Rating: 5

No comments

Post AD