Header AD

PICHA : PETER OKOYE AFUNGA NDOA YA KIMILA NA MCHUMBA WAKE LOLA.

Wikiendi hii ilikwenda vyema kwa mwanamuziki anayetokea katika kundi la Psquare Peter Okoye kufunga ndoa ya kimila na mama watoto wa muda mrefu Lola, katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na watu mashuhuri mbalimbali akiwemo pacha wake Paul Okoye, mwanamuziki Diamond Platnum kutoka Tanzania, aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester City na Arsenal Emmanuel Adebayor, Iyanya, Davido na mastaa wengine wengi.

PICHA : PETER OKOYE AFUNGA NDOA YA KIMILA NA MCHUMBA WAKE LOLA. PICHA : PETER OKOYE AFUNGA NDOA YA KIMILA NA MCHUMBA WAKE LOLA. Reviewed by crispaseve on 12:57 Rating: 5

No comments

Post AD