ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI
Timu ya Arsenal imejihakikishia kumaliza mwaka 2013 ikiwa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuifunga Newcastle bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa St. James' Park hivi punde. Kwa ushindi wa leo Arsenal imefikisha pointi 42 ambapo hakuna timu nyingine yoyote itakayozifikisha kwa mwaka huu.Credits GPL
ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI
Reviewed by crispaseve
on
22:27
Rating:

Post a Comment